Letra de ' Nina Siri ' de Israel Mbonyi

Nina Siri é uma música de Israel Mbonyi cuja letra tem inúmeras buscas, por isso decidimos que ela merece seu lugar neste site, junto com muitas outras letras de músicas que os internautas desejam conhecer.

Se você tem procurado há muito tempo pela letra da música Nina Siri de Israel Mbonyi , comece a aquecer a voz, porque você não vai conseguir parar de cantá-la.

Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
Kwa amani nayo dhiki
Yanifanya niwe jasiri
Yaniburudisha, nikirukaruka
Hosana, Amen
Yaniburudisha, nikirukaruka
Nikiimba Hosana, Amen
Nina siiri
Nina siri naye Yesu

(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
Nikiimba Hosana, Amen
Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba Hosana, Amen

Waambie wanaolia
Wakiteswa na malimwengu
Waonjeni neema yake
Na rehema yake Mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru
Hosana, Amen
Watafunguliwa, watawekwa huru
Hosana, Amen
Waambie wanaolia
Wakiteswa na malimwengu
Waonjeni neema yake
Na rehema yake Mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru
Hosana, Amen
Watafunguliwa, watawekwa huru
Wataimba Hosana, Amen
Nina siiri
Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri

(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba Hosana, Amen
Nina siri naye Yesu (Mwokozi wangu)
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba Hosana, Amen
Nina siri naye Yesu (Hallelujah)

Nikirukaruka

Hallelujah!
Nikirukaruka
Hosana, Amen
Hallelujah!

Play Escuchar " Nina Siri " gratis en Amazon Unlimited

Otras canciones de Israel Mbonyi

Saber o que diz a letra de Nina Siri nos permite colocar mais sentimento na interpretação.

Se a sua motivação para ter procurado pela letra da música Nina Siri foi porque você adora, esperamos que você possa aproveitar cantando-a.

Algo que acontece mais vezes do que pensamos é que as pessoas procuram a letra de Nina Siri porque há alguma palavra na música que não entendem bem e querem ter certeza do que diz.

Você está discutindo com seu parceiro(a) porque entendem coisas diferentes ao ouvir Nina Siri ? Ter à mão a letra da música Nina Siri de Israel Mbonyi pode resolver muitas disputas, e esperamos que assim seja.

Esperamos ter ajudado com a letra da música Nina Siri de Israel Mbonyi .

Nesta página, você tem à disposição centenas de letras de músicas, como Nina Siri de Israel Mbonyi .

Aprenda as letras das músicas que você gosta, como Nina Siri de Israel Mbonyi , seja para cantá-las no chuveiro, fazer seus covers, dedicá-las a alguém ou ganhar uma aposta.